Native Bible

Job 41:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nguvu hukaa katika shingo yake; utisho hutangulia mbele yake.

Job 41:22 in English

Job 41:22 · Berean Standard Bible

Strength resides in his neck, and dismay leaps before him.

Context

20Moshi hufuka kutoka puani mwake, kama kutoka kwenye chungu kinachotokota kwa moto wa matete. 21Pumzi yake huwasha makaa ya mawe, nayo miali ya moto huruka kutoka kinywani mwake. 22Nguvu hukaa katika shingo yake; utisho hutangulia mbele yake. 23Mikunjo ya nyama yake imeshikamana imara pamoja; iko imara na haiwezi kuondolewa. 24Kifua chake ni kigumu kama mwamba, kigumu kama jiwe la chini la kusagia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.