Native Bible

Job 41:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mikunjo ya nyama yake imeshikamana imara pamoja; iko imara na haiwezi kuondolewa.

Job 41:23 in English

Job 41:23 · Berean Standard Bible

The folds of his flesh are tightly joined; they are firm and immovable.

Context

21Pumzi yake huwasha makaa ya mawe, nayo miali ya moto huruka kutoka kinywani mwake. 22Nguvu hukaa katika shingo yake; utisho hutangulia mbele yake. 23Mikunjo ya nyama yake imeshikamana imara pamoja; iko imara na haiwezi kuondolewa. 24Kifua chake ni kigumu kama mwamba, kigumu kama jiwe la chini la kusagia. 25Ainukapo, mashujaa wanaogopa; hurudi nyuma mbele yake anapokwenda kwa kishindo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.