Native Bible

Job 41:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kifua chake ni kigumu kama mwamba, kigumu kama jiwe la chini la kusagia.

Job 41:24 in English

Job 41:24 · Berean Standard Bible

His chest is as hard as a rock, as hard as a lower millstone!

Context

22Nguvu hukaa katika shingo yake; utisho hutangulia mbele yake. 23Mikunjo ya nyama yake imeshikamana imara pamoja; iko imara na haiwezi kuondolewa. 24Kifua chake ni kigumu kama mwamba, kigumu kama jiwe la chini la kusagia. 25Ainukapo, mashujaa wanaogopa; hurudi nyuma mbele yake anapokwenda kwa kishindo. 26Upanga unaomfikia haumdhuru, wala mkuki au mshale wala fumo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.