Ayubu 41:11
Job 41:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni nani mwenye madai dhidi yangu ili nipate kumlipa? Kila kitu kilicho chini ya mbingu ni mali yangu.
Job 41:11 in English
Job 41:11 · Berean Standard Bible
Who has given to Me that I should repay him?* Everything under heaven is Mine.
Context
9Tumaini lolote la kumtiisha ni kujidanganya;
kule kumwona tu kunamwangusha mtu chini. 10Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza.
Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu? 11Ni nani mwenye madai dhidi yangu ili nipate kumlipa?
Kila kitu kilicho chini ya mbingu ni mali yangu. 12“Sitashindwa kunena juu ya maungo yake,
nguvu zake na umbo lake zuri. 13Ni nani awezaye kumvua gamba lake la nje?
Ni nani awezaye kumsogelea na lijamu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.