Native Bible

Job 40:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu.

Job 40:7 in English

Job 40:7 · Berean Standard Bible

“Now brace yourself * like a man; I will question you, and you shall inform Me.*

Context

5Nimesema mara moja, lakini sina jibu; naam, nimesema mara mbili, lakini sitasema tena.” 6Ndipo Bwana akasema na Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli: 7“Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu. 8“Je, utabatilisha hukumu yangu? Utanilaumu mimi ili kujihesabia haki mwenyewe? 9Je, una mkono kama wa Mungu, nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.