Ayubu 40:5
Job 40:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nimesema mara moja, lakini sina jibu; naam, nimesema mara mbili, lakini sitasema tena.”
Job 40:5 in English
Job 40:5 · Berean Standard Bible
I have spoken once, but I have no answer— twice, but I have nothing to add.”
Context
3Ndipo Ayubu akamjibu Bwana: 4“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe?
Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu. 5Nimesema mara moja, lakini sina jibu;
naam, nimesema mara mbili,
lakini sitasema tena.” 6Ndipo Bwana akasema na Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli: 7“Jikaze kama mwanaume;
nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.