Ayubu 40:4
Job 40:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe? Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu.
Job 40:4 in English
Job 40:4 · Berean Standard Bible
“Behold, I am insignificant. How can I reply to You? I place my hand over my mouth.
Context
2“Je, mwenye kushindana na Mwenyezi aweza kumsahihisha?
Mwenye kumlaumu Mungu na ajibu.” 3Ndipo Ayubu akamjibu Bwana: 4“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe?
Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu. 5Nimesema mara moja, lakini sina jibu;
naam, nimesema mara mbili,
lakini sitasema tena.” 6Ndipo Bwana akasema na Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.