Native Bible

Job 40:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, mwenye kushindana na Mwenyezi aweza kumsahihisha? Mwenye kumlaumu Mungu na ajibu.”

Job 40:2 in English

Job 40:2 · Berean Standard Bible

“Will the faultfinder contend with the Almighty? Let him who argues with God give an answer.”

Context

1Bwana akamwambia Ayubu: 2“Je, mwenye kushindana na Mwenyezi aweza kumsahihisha? Mwenye kumlaumu Mungu na ajibu.” 3Ndipo Ayubu akamjibu Bwana: 4“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe? Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.