Native Bible

Job 40:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Ayubu:

Job 40:1 in English

Job 40:1 · Berean Standard Bible

And the LORD said to Job:

Context

1Bwana akamwambia Ayubu: 2“Je, mwenye kushindana na Mwenyezi aweza kumsahihisha? Mwenye kumlaumu Mungu na ajibu.” 3Ndipo Ayubu akamjibu Bwana:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.