Native Bible

Job 40:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Ayubu akamjibu Bwana:

Job 40:3 in English

Job 40:3 · Berean Standard Bible

Then Job answered the LORD:

Context

1Bwana akamwambia Ayubu: 2“Je, mwenye kushindana na Mwenyezi aweza kumsahihisha? Mwenye kumlaumu Mungu na ajibu.” 3Ndipo Ayubu akamjibu Bwana: 4“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe? Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu. 5Nimesema mara moja, lakini sina jibu; naam, nimesema mara mbili, lakini sitasema tena.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.