Ayubu 40:6
Job 40:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Bwana akasema na Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli:
Job 40:6 in English
Job 40:6 · Berean Standard Bible
Then the LORD answered Job out of the whirlwind and said:
Context
4“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe?
Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu. 5Nimesema mara moja, lakini sina jibu;
naam, nimesema mara mbili,
lakini sitasema tena.” 6Ndipo Bwana akasema na Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli: 7“Jikaze kama mwanaume;
nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu. 8“Je, utabatilisha hukumu yangu?
Utanilaumu mimi ili kujihesabia haki mwenyewe?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.