Ayubu 40:8
Job 40:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Je, utabatilisha hukumu yangu? Utanilaumu mimi ili kujihesabia haki mwenyewe?
Job 40:8 in English
Job 40:8 · Berean Standard Bible
Would you really annul My justice? Would you condemn Me to justify yourself?
Context
6Ndipo Bwana akasema na Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli: 7“Jikaze kama mwanaume;
nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu. 8“Je, utabatilisha hukumu yangu?
Utanilaumu mimi ili kujihesabia haki mwenyewe? 9Je, una mkono kama wa Mungu,
nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake? 10Basi jivike mwenyewe utukufu na fahari,
nawe uvae heshima na enzi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.