Native Bible

Job 40:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, una mkono kama wa Mungu, nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake?

Job 40:9 in English

Job 40:9 · Berean Standard Bible

Do you have an arm like God’s? Can you thunder with a voice like His?

Context

7“Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu. 8“Je, utabatilisha hukumu yangu? Utanilaumu mimi ili kujihesabia haki mwenyewe? 9Je, una mkono kama wa Mungu, nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake? 10Basi jivike mwenyewe utukufu na fahari, nawe uvae heshima na enzi. 11Fungulia ukali wa ghadhabu yako, mtafute kila mwenye kiburi umshushe,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.