Ayubu 40:11
Job 40:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Fungulia ukali wa ghadhabu yako, mtafute kila mwenye kiburi umshushe,
Job 40:11 in English
Job 40:11 · Berean Standard Bible
Unleash the fury of your wrath; look on every proud man and bring him low.
Context
9Je, una mkono kama wa Mungu,
nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake? 10Basi jivike mwenyewe utukufu na fahari,
nawe uvae heshima na enzi. 11Fungulia ukali wa ghadhabu yako,
mtafute kila mwenye kiburi umshushe, 12mwangalie kila mtu mwenye kiburi na umnyenyekeze,
waponde waovu mahali wasimamapo. 13Wazike wote mavumbini pamoja;
wafunge nyuso zao kaburini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.