Ayubu 4:11
Job 4:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Simba anaweza kuangamia kwa kukosa mawindo, nao wana wa simba jike hutawanyika.
Job 4:11 in English
Job 4:11 · Berean Standard Bible
The old lion perishes for lack of prey, and the cubs of the lioness are scattered.
Context
9Kwa pumzi ya Mungu huangamizwa;
kwa mshindo wa hasira zake huangamia. 10Simba anaweza kunguruma na kukoroma,
lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika. 11Simba anaweza kuangamia kwa kukosa mawindo,
nao wana wa simba jike hutawanyika. 12“Neno lililetwa kwangu kwa siri,
masikio yangu yakasikia mnongʼono wake. 13Katikati ya ndoto za kutia wasiwasi wakati wa usiku,
hapo usingizi mzito uwapatapo wanadamu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.