Ayubu 4:13
Job 4:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katikati ya ndoto za kutia wasiwasi wakati wa usiku, hapo usingizi mzito uwapatapo wanadamu,
Job 4:13 in English
Job 4:13 · Berean Standard Bible
In disquieting visions in the night, when deep sleep falls on men,
Context
11Simba anaweza kuangamia kwa kukosa mawindo,
nao wana wa simba jike hutawanyika. 12“Neno lililetwa kwangu kwa siri,
masikio yangu yakasikia mnongʼono wake. 13Katikati ya ndoto za kutia wasiwasi wakati wa usiku,
hapo usingizi mzito uwapatapo wanadamu, 14hofu na kutetemeka kulinishika
na kufanya mifupa yangu yote itetemeke. 15Kuna roho aliyepita mbele ya uso wangu,
nazo nywele za mwili wangu zikasimama.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.