Native Bible

Job 4:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuna roho aliyepita mbele ya uso wangu, nazo nywele za mwili wangu zikasimama.

Job 4:15 in English

Job 4:15 · Berean Standard Bible

Then a spirit * glided past my face, and the hair on my body bristled.

Context

13Katikati ya ndoto za kutia wasiwasi wakati wa usiku, hapo usingizi mzito uwapatapo wanadamu, 14hofu na kutetemeka kulinishika na kufanya mifupa yangu yote itetemeke. 15Kuna roho aliyepita mbele ya uso wangu, nazo nywele za mwili wangu zikasimama. 16Yule roho akasimama, lakini sikuweza kutambua kilikuwa kitu gani. Umbo fulani lilisimama mbele ya macho yangu, kukawa na ukimya kisha nikasikia sauti: 17‘Je, binadamu aweza kuwa mwadilifu kuliko Mungu? Je, mtu aweza kuwa safi kuliko Muumba wake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.