Ayubu 4:17
Job 4:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
‘Je, binadamu aweza kuwa mwadilifu kuliko Mungu? Je, mtu aweza kuwa safi kuliko Muumba wake?
Job 4:17 in English
Job 4:17 · Berean Standard Bible
‘Can a mortal be more righteous than God, or a man more pure than his Maker?
Context
15Kuna roho aliyepita mbele ya uso wangu,
nazo nywele za mwili wangu zikasimama. 16Yule roho akasimama,
lakini sikuweza kutambua kilikuwa kitu gani.
Umbo fulani lilisimama mbele ya macho yangu,
kukawa na ukimya kisha nikasikia sauti: 17‘Je, binadamu aweza kuwa mwadilifu kuliko Mungu?
Je, mtu aweza kuwa safi kuliko Muumba wake? 18Kama Mungu hawaamini watumishi wake,
kama yeye huwalaumu malaika zake kwa kukosea, 19ni mara ngapi zaidi wale waishio katika nyumba
za udongo wa mfinyanzi,
ambazo misingi yake ipo mavumbini,
ambao wamepondwa kama nondo!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.