Native Bible

Job 4:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Neno lililetwa kwangu kwa siri, masikio yangu yakasikia mnongʼono wake.

Job 4:12 in English

Job 4:12 · Berean Standard Bible

Now a word came to me secretly; my ears caught a whisper of it.

Context

10Simba anaweza kunguruma na kukoroma, lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika. 11Simba anaweza kuangamia kwa kukosa mawindo, nao wana wa simba jike hutawanyika. 12“Neno lililetwa kwangu kwa siri, masikio yangu yakasikia mnongʼono wake. 13Katikati ya ndoto za kutia wasiwasi wakati wa usiku, hapo usingizi mzito uwapatapo wanadamu, 14hofu na kutetemeka kulinishika na kufanya mifupa yangu yote itetemeke.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.