Native Bible

Job 4:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Simba anaweza kunguruma na kukoroma, lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika.

Job 4:10 in English

Job 4:10 · Berean Standard Bible

The lion may roar, and the fierce lion may growl, yet the teeth of the young lions are broken.

Context

8Kwa jinsi ambavyo mimi nimechunguza, wale walimao ubaya na wale hupanda uovu, huvuna hayo hayo hayo. 9Kwa pumzi ya Mungu huangamizwa; kwa mshindo wa hasira zake huangamia. 10Simba anaweza kunguruma na kukoroma, lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika. 11Simba anaweza kuangamia kwa kukosa mawindo, nao wana wa simba jike hutawanyika. 12“Neno lililetwa kwangu kwa siri, masikio yangu yakasikia mnongʼono wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.