Native Bible

Job 4:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa jinsi ambavyo mimi nimechunguza, wale walimao ubaya na wale hupanda uovu, huvuna hayo hayo hayo.

Job 4:8 in English

Job 4:8 · Berean Standard Bible

As I have observed, those who plow iniquity and those who sow trouble reap the same.

Context

6Je, kumcha Mungu kwako hakupaswi kuwa ndiyo matumaini yako na njia zako kutokuwa na lawama ndilo taraja lako? 7“Fikiri sasa: Ni mtu yupi asiye na hatia ambaye aliwahi kuangamia? Ni wapi wanyofu waliwahi kuangamizwa? 8Kwa jinsi ambavyo mimi nimechunguza, wale walimao ubaya na wale hupanda uovu, huvuna hayo hayo hayo. 9Kwa pumzi ya Mungu huangamizwa; kwa mshindo wa hasira zake huangamia. 10Simba anaweza kunguruma na kukoroma, lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.