Ayubu 4:7
Job 4:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Fikiri sasa: Ni mtu yupi asiye na hatia ambaye aliwahi kuangamia? Ni wapi wanyofu waliwahi kuangamizwa?
Job 4:7 in English
Job 4:7 · Berean Standard Bible
Consider now, I plead: Who, being innocent, has ever perished? Or where have the upright been destroyed?
Context
5Lakini sasa hii taabu imekujia wewe,
nawe unashuka moyo;
imekupiga wewe,
nawe unafadhaika. 6Je, kumcha Mungu kwako hakupaswi kuwa
ndiyo matumaini yako
na njia zako kutokuwa na lawama
ndilo taraja lako? 7“Fikiri sasa: Ni mtu yupi asiye na hatia ambaye aliwahi kuangamia?
Ni wapi wanyofu waliwahi kuangamizwa? 8Kwa jinsi ambavyo mimi nimechunguza,
wale walimao ubaya
na wale hupanda uovu,
huvuna hayo hayo hayo. 9Kwa pumzi ya Mungu huangamizwa;
kwa mshindo wa hasira zake huangamia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.