Native Bible

Job 39:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huparapara bila woga, akizifurahia nguvu zake, husonga mbele kukabiliana na silaha.

Job 39:21 in English

Job 39:21 · Berean Standard Bible

He paws in the valley and rejoices in his strength; he charges into battle.

Context

19“Je, wewe humpa farasi nguvu au kuivika shingo yake manyoya marefu? 20Je, wewe humfanya farasi aruke kama nzige, akistaajabisha kwa tishio la mlio wake wa majivuno? 21Huparapara bila woga, akizifurahia nguvu zake, husonga mbele kukabiliana na silaha. 22Huicheka hofu, haogopi chochote, wala haukimbii upanga. 23Podo hutoa sauti kando yake, pamoja na mkuki unaongʼaa na fumo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.