Native Bible

Job 39:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, wewe humpa farasi nguvu au kuivika shingo yake manyoya marefu?

Job 39:19 in English

Job 39:19 · Berean Standard Bible

Do you give strength to the horse or adorn his neck with a mane?

Context

17kwa kuwa Mungu hakumjalia hekima, wala hakumpa fungu la akili njema. 18Lakini akunjuapo mabawa yake kukimbia, humcheka farasi pamoja na yeye aliyempanda. 19“Je, wewe humpa farasi nguvu au kuivika shingo yake manyoya marefu? 20Je, wewe humfanya farasi aruke kama nzige, akistaajabisha kwa tishio la mlio wake wa majivuno? 21Huparapara bila woga, akizifurahia nguvu zake, husonga mbele kukabiliana na silaha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.