Native Bible

Job 39:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa kuwa Mungu hakumjalia hekima, wala hakumpa fungu la akili njema.

Job 39:17 in English

Job 39:17 · Berean Standard Bible

For God has deprived her of wisdom; He has not endowed her with understanding.

Context

15bila kujali kuwa mguu waweza kuyaponda, kwamba baadhi ya wanyama wa porini wanaweza kuyakanyaga. 16Yeye huyafanyia makinda yake ukatili kama vile si yake; hajali kwamba taabu yake inaweza ikawa bure, 17kwa kuwa Mungu hakumjalia hekima, wala hakumpa fungu la akili njema. 18Lakini akunjuapo mabawa yake kukimbia, humcheka farasi pamoja na yeye aliyempanda. 19“Je, wewe humpa farasi nguvu au kuivika shingo yake manyoya marefu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.