Native Bible

Job 39:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

bila kujali kuwa mguu waweza kuyaponda, kwamba baadhi ya wanyama wa porini wanaweza kuyakanyaga.

Job 39:15 in English

Job 39:15 · Berean Standard Bible

She forgets that a foot may crush them, or a wild animal may trample them.

Context

13“Mbuni hupigapiga mabawa yake kwa furaha, lakini hayawezi kulinganishwa na mabawa na manyoya ya korongo. 14Huyataga mayai yake juu ya ardhi, na kuyaacha yapate joto mchangani, 15bila kujali kuwa mguu waweza kuyaponda, kwamba baadhi ya wanyama wa porini wanaweza kuyakanyaga. 16Yeye huyafanyia makinda yake ukatili kama vile si yake; hajali kwamba taabu yake inaweza ikawa bure, 17kwa kuwa Mungu hakumjalia hekima, wala hakumpa fungu la akili njema.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.