Ayubu 39:16
Job 39:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye huyafanyia makinda yake ukatili kama vile si yake; hajali kwamba taabu yake inaweza ikawa bure,
Job 39:16 in English
Job 39:16 · Berean Standard Bible
She treats her young harshly, as if not her own, with no concern that her labor was in vain.
Context
14Huyataga mayai yake juu ya ardhi,
na kuyaacha yapate joto mchangani, 15bila kujali kuwa mguu waweza kuyaponda,
kwamba baadhi ya wanyama wa porini wanaweza kuyakanyaga. 16Yeye huyafanyia makinda yake ukatili kama vile si yake;
hajali kwamba taabu yake inaweza ikawa bure, 17kwa kuwa Mungu hakumjalia hekima,
wala hakumpa fungu la akili njema. 18Lakini akunjuapo mabawa yake kukimbia,
humcheka farasi pamoja na yeye aliyempanda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.