Native Bible

Job 39:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini akunjuapo mabawa yake kukimbia, humcheka farasi pamoja na yeye aliyempanda.

Job 39:18 in English

Job 39:18 · Berean Standard Bible

Yet when she proudly spreads her wings, she laughs at the horse and its rider.

Context

16Yeye huyafanyia makinda yake ukatili kama vile si yake; hajali kwamba taabu yake inaweza ikawa bure, 17kwa kuwa Mungu hakumjalia hekima, wala hakumpa fungu la akili njema. 18Lakini akunjuapo mabawa yake kukimbia, humcheka farasi pamoja na yeye aliyempanda. 19“Je, wewe humpa farasi nguvu au kuivika shingo yake manyoya marefu? 20Je, wewe humfanya farasi aruke kama nzige, akistaajabisha kwa tishio la mlio wake wa majivuno?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.