Ayubu 39:23
Job 39:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Podo hutoa sauti kando yake, pamoja na mkuki unaongʼaa na fumo.
Job 39:23 in English
Job 39:23 · Berean Standard Bible
A quiver rattles at his side, along with a flashing spear and lance.*
Context
21Huparapara bila woga, akizifurahia nguvu zake,
husonga mbele kukabiliana na silaha. 22Huicheka hofu, haogopi chochote,
wala haukimbii upanga. 23Podo hutoa sauti kando yake,
pamoja na mkuki unaongʼaa na fumo. 24Bila woga na kwa ghadhabu huimeza nchi,
wala tarumbeta iliapo yeye hawezi kusimama. 25Asikiapo sauti ya baragumu yeye hulia, ‘Aha!’
Hunusa harufu ya vita toka mbali,
sauti ya mtoa amri na ukelele wa vita.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.