Native Bible

Job 39:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bila woga na kwa ghadhabu huimeza nchi, wala tarumbeta iliapo yeye hawezi kusimama.

Job 39:24 in English

Job 39:24 · Berean Standard Bible

Trembling with excitement, he devours the distance; he cannot stand still when the ram’s horn sounds.

Context

22Huicheka hofu, haogopi chochote, wala haukimbii upanga. 23Podo hutoa sauti kando yake, pamoja na mkuki unaongʼaa na fumo. 24Bila woga na kwa ghadhabu huimeza nchi, wala tarumbeta iliapo yeye hawezi kusimama. 25Asikiapo sauti ya baragumu yeye hulia, ‘Aha!’ Hunusa harufu ya vita toka mbali, sauti ya mtoa amri na ukelele wa vita. 26“Je, mwewe huruka kwa hekima yako na kuyakunjua mabawa yake kuelekea kusini?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.