Ayubu 37:3
Job 37:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huuachilia umeme wake wa radi chini ya mbingu yote na kuupeleka hata miisho ya dunia.
Job 37:3 in English
Job 37:3 · Berean Standard Bible
He unleashes His lightning beneath the whole sky and sends it to the ends of the earth.
Context
1“Kwa hili moyo wangu unatetemeka,
nao unaruka kutoka mahali pake. 2Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake,
sauti ya ngurumo itokayo kinywani mwake. 3Huuachilia umeme wake wa radi chini ya mbingu yote
na kuupeleka hata miisho ya dunia. 4Baada ya hayo huja sauti ya ngurumo yake;
Mungu hunguruma kwa sauti yake ya fahari.
Wakati sauti yake ingurumapo tena,
huuachilia umeme wake wa radi. 5Sauti ya Mungu hunguruma kwa namna za ajabu;
yeye hutenda mambo makuu kupita ufahamu wetu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.