Native Bible

Job 37:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kwa hili moyo wangu unatetemeka, nao unaruka kutoka mahali pake.

Job 37:1 in English

Job 37:1 · Berean Standard Bible

“At this my heart also pounds and leaps from its place.

Context

1“Kwa hili moyo wangu unatetemeka, nao unaruka kutoka mahali pake. 2Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake, sauti ya ngurumo itokayo kinywani mwake. 3Huuachilia umeme wake wa radi chini ya mbingu yote na kuupeleka hata miisho ya dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.