Native Bible

Job 37:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake, sauti ya ngurumo itokayo kinywani mwake.

Job 37:2 in English

Job 37:2 · Berean Standard Bible

Listen closely to the thunder of His voice and the rumbling that comes from His mouth.

Context

1“Kwa hili moyo wangu unatetemeka, nao unaruka kutoka mahali pake. 2Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake, sauti ya ngurumo itokayo kinywani mwake. 3Huuachilia umeme wake wa radi chini ya mbingu yote na kuupeleka hata miisho ya dunia. 4Baada ya hayo huja sauti ya ngurumo yake; Mungu hunguruma kwa sauti yake ya fahari. Wakati sauti yake ingurumapo tena, huuachilia umeme wake wa radi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.