Ayubu 34:8
Job 34:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ashirikianaye na watenda mabaya na kuchangamana na watu waovu.
Job 34:8 in English
Job 34:8 · Berean Standard Bible
He keeps company with evildoers and walks with wicked men.
Context
6Ingawa niko sawa,
ninaonekana mwongo;
nami ingawa sina kosa,
kidonda changu hakiponi.’ 7Ni mtu gani aliye kama Ayubu,
anywaye dharau kama maji? 8Ashirikianaye na watenda mabaya
na kuchangamana na watu waovu. 9Kwa kuwa anasema, ‘Haimfaidi mwanadamu kitu chochote
anapojitahidi kumpendeza Mungu.’ 10“Hivyo nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye ufahamu.
Kamwe Mungu hatendi uovu,
Mwenyezi hafanyi kosa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.