Native Bible

Job 34:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Hivyo nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye ufahamu. Kamwe Mungu hatendi uovu, Mwenyezi hafanyi kosa.

Job 34:10 in English

Job 34:10 · Berean Standard Bible

Therefore listen to me, O men of understanding. Far be it from God to do wrong, and from the Almighty to act unjustly.

Context

8Ashirikianaye na watenda mabaya na kuchangamana na watu waovu. 9Kwa kuwa anasema, ‘Haimfaidi mwanadamu kitu chochote anapojitahidi kumpendeza Mungu.’ 10“Hivyo nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye ufahamu. Kamwe Mungu hatendi uovu, Mwenyezi hafanyi kosa. 11Humlipa mwanadamu kwa ajili ya lile alilotenda; huleta juu yake kile ambacho matendo yake yanastahili. 12Ni jambo lisiloweza kufikiriwa kwamba Mungu angefanya makosa, kwamba Mwenyezi angepotosha hukumu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.