Ayubu 34:12
Job 34:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni jambo lisiloweza kufikiriwa kwamba Mungu angefanya makosa, kwamba Mwenyezi angepotosha hukumu.
Job 34:12 in English
Job 34:12 · Berean Standard Bible
Indeed, it is true that God does not act wickedly, and the Almighty does not pervert justice.
Context
10“Hivyo nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye ufahamu.
Kamwe Mungu hatendi uovu,
Mwenyezi hafanyi kosa. 11Humlipa mwanadamu kwa ajili ya lile alilotenda;
huleta juu yake kile ambacho matendo yake yanastahili. 12Ni jambo lisiloweza kufikiriwa kwamba Mungu angefanya makosa,
kwamba Mwenyezi angepotosha hukumu. 13Je, ni nani aliyemtawaza juu ya dunia?
Ni nani aliyemweka kuwa mwangalizi wa ulimwengu wote? 14Kama lilikuwa kusudi la Mungu,
naye akaiondoa Roho yake na pumzi yake,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.