Native Bible

Job 34:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, ni nani aliyemtawaza juu ya dunia? Ni nani aliyemweka kuwa mwangalizi wa ulimwengu wote?

Job 34:13 in English

Job 34:13 · Berean Standard Bible

Who gave Him charge over the earth? Who appointed Him over the whole world?

Context

11Humlipa mwanadamu kwa ajili ya lile alilotenda; huleta juu yake kile ambacho matendo yake yanastahili. 12Ni jambo lisiloweza kufikiriwa kwamba Mungu angefanya makosa, kwamba Mwenyezi angepotosha hukumu. 13Je, ni nani aliyemtawaza juu ya dunia? Ni nani aliyemweka kuwa mwangalizi wa ulimwengu wote? 14Kama lilikuwa kusudi la Mungu, naye akaiondoa Roho yake na pumzi yake, 15wanadamu wote wangeliangamia kwa pamoja, na mtu angerudi mavumbini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.