Ayubu 34:15
Job 34:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wanadamu wote wangeliangamia kwa pamoja, na mtu angerudi mavumbini.
Job 34:15 in English
Job 34:15 · Berean Standard Bible
all flesh would perish together and mankind would return to the dust.
Context
13Je, ni nani aliyemtawaza juu ya dunia?
Ni nani aliyemweka kuwa mwangalizi wa ulimwengu wote? 14Kama lilikuwa kusudi la Mungu,
naye akaiondoa Roho yake na pumzi yake, 15wanadamu wote wangeliangamia kwa pamoja,
na mtu angerudi mavumbini. 16“Kama ninyi mnaufahamu, sikieni hili;
sikilizeni hili nisemalo. 17Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala?
Je, utamhukumu mwenye haki, Aliye na Nguvu Zote?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.