Native Bible

Job 34:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kama ninyi mnaufahamu, sikieni hili; sikilizeni hili nisemalo.

Job 34:16 in English

Job 34:16 · Berean Standard Bible

If you have understanding, hear this; listen to my words.

Context

14Kama lilikuwa kusudi la Mungu, naye akaiondoa Roho yake na pumzi yake, 15wanadamu wote wangeliangamia kwa pamoja, na mtu angerudi mavumbini. 16“Kama ninyi mnaufahamu, sikieni hili; sikilizeni hili nisemalo. 17Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala? Je, utamhukumu mwenye haki, Aliye na Nguvu Zote? 18Je, si ni yeye awaambiaye wafalme, ‘Ninyi hamfai kitu,’ nao watu mashuhuri, ‘Ninyi ni waovu,’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.