Ayubu 34:17
Job 34:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala? Je, utamhukumu mwenye haki, Aliye na Nguvu Zote?
Job 34:17 in English
Job 34:17 · Berean Standard Bible
Could one who hates justice govern? Will you condemn the just and mighty One,
Context
15wanadamu wote wangeliangamia kwa pamoja,
na mtu angerudi mavumbini. 16“Kama ninyi mnaufahamu, sikieni hili;
sikilizeni hili nisemalo. 17Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala?
Je, utamhukumu mwenye haki, Aliye na Nguvu Zote? 18Je, si ni yeye awaambiaye wafalme, ‘Ninyi hamfai kitu,’
nao watu mashuhuri, ‘Ninyi ni waovu,’ 19yeye asiyependelea wakuu,
wala haonyeshi upendeleo kwa matajiri kuliko maskini,
kwa kuwa wote ni kazi ya mikono yake?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.