Native Bible

Job 34:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ingawa niko sawa, ninaonekana mwongo; nami ingawa sina kosa, kidonda changu hakiponi.’

Job 34:6 in English

Job 34:6 · Berean Standard Bible

Would I lie about my case? My wound is incurable, though I am without transgression.’

Context

4Tujichagulie wenyewe yaliyo sawa, nasi tujifunze pamoja yaliyo mema. 5“Ayubu anasema, ‘Mimi sina hatia, lakini Mungu ameninyima haki yangu. 6Ingawa niko sawa, ninaonekana mwongo; nami ingawa sina kosa, kidonda changu hakiponi.’ 7Ni mtu gani aliye kama Ayubu, anywaye dharau kama maji? 8Ashirikianaye na watenda mabaya na kuchangamana na watu waovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.