Ayubu 34:7
Job 34:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni mtu gani aliye kama Ayubu, anywaye dharau kama maji?
Job 34:7 in English
Job 34:7 · Berean Standard Bible
What man is like Job, who drinks up derision like water?
Context
5“Ayubu anasema, ‘Mimi sina hatia,
lakini Mungu ameninyima haki yangu. 6Ingawa niko sawa,
ninaonekana mwongo;
nami ingawa sina kosa,
kidonda changu hakiponi.’ 7Ni mtu gani aliye kama Ayubu,
anywaye dharau kama maji? 8Ashirikianaye na watenda mabaya
na kuchangamana na watu waovu. 9Kwa kuwa anasema, ‘Haimfaidi mwanadamu kitu chochote
anapojitahidi kumpendeza Mungu.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.