Native Bible

Job 32:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ndani yangu niko kama chupa iliyojazwa divai, kama kiriba kipya cha divai kilicho tayari kupasuka.

Job 32:19 in English

Job 32:19 · Berean Standard Bible

Behold, my belly is like unvented wine; it is about to burst like a new wineskin.

Context

17Mimi nami nitakuwa na la kusema; mimi nami nitasema lile nilijualo. 18Kwa kuwa nimejawa na maneno, nayo Roho iliyomo ndani yangu yanisukuma; 19ndani yangu niko kama chupa iliyojazwa divai, kama kiriba kipya cha divai kilicho tayari kupasuka. 20Ni lazima niseme ili niweze kutulia; ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu. 21Sitampendelea mtu yeyote, wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.