Ayubu 32:17
Job 32:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mimi nami nitakuwa na la kusema; mimi nami nitasema lile nilijualo.
Job 32:17 in English
Job 32:17 · Berean Standard Bible
I too will answer; yes, I will declare what I know.
Context
15“Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema;
maneno yamewaishia. 16Je, ningoje sasa kwa sababu wamekuwa kimya,
kwa vile sasa wanasimama bila kuwa na la kujibu? 17Mimi nami nitakuwa na la kusema;
mimi nami nitasema lile nilijualo. 18Kwa kuwa nimejawa na maneno,
nayo Roho iliyomo ndani yangu yanisukuma; 19ndani yangu niko kama chupa iliyojazwa divai,
kama kiriba kipya cha divai kilicho tayari kupasuka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.