Ayubu 32:16
Job 32:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, ningoje sasa kwa sababu wamekuwa kimya, kwa vile sasa wanasimama bila kuwa na la kujibu?
Job 32:16 in English
Job 32:16 · Berean Standard Bible
Must I wait, now that they are silent, now that they stand and no longer reply?
Context
14Lakini Ayubu hajayapanga maneno yake dhidi yangu,
nami sitamjibu kwa kutumia hoja zenu. 15“Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema;
maneno yamewaishia. 16Je, ningoje sasa kwa sababu wamekuwa kimya,
kwa vile sasa wanasimama bila kuwa na la kujibu? 17Mimi nami nitakuwa na la kusema;
mimi nami nitasema lile nilijualo. 18Kwa kuwa nimejawa na maneno,
nayo Roho iliyomo ndani yangu yanisukuma;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.