Native Bible

Job 32:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa nimejawa na maneno, nayo Roho iliyomo ndani yangu yanisukuma;

Job 32:18 in English

Job 32:18 · Berean Standard Bible

For I am full of words, and my spirit within me compels me.

Context

16Je, ningoje sasa kwa sababu wamekuwa kimya, kwa vile sasa wanasimama bila kuwa na la kujibu? 17Mimi nami nitakuwa na la kusema; mimi nami nitasema lile nilijualo. 18Kwa kuwa nimejawa na maneno, nayo Roho iliyomo ndani yangu yanisukuma; 19ndani yangu niko kama chupa iliyojazwa divai, kama kiriba kipya cha divai kilicho tayari kupasuka. 20Ni lazima niseme ili niweze kutulia; ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.