Ayubu 32:20
Job 32:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni lazima niseme ili niweze kutulia; ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu.
Job 32:20 in English
Job 32:20 · Berean Standard Bible
I must speak and find relief; I must open my lips and respond.
Context
18Kwa kuwa nimejawa na maneno,
nayo Roho iliyomo ndani yangu yanisukuma; 19ndani yangu niko kama chupa iliyojazwa divai,
kama kiriba kipya cha divai kilicho tayari kupasuka. 20Ni lazima niseme ili niweze kutulia;
ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu. 21Sitampendelea mtu yeyote,
wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote; 22kwa kuwa kama ningekuwa stadi wa kujipendekeza,
Muumba wangu angeniondolea mbali kwa upesi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.