Native Bible

Job 32:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sitampendelea mtu yeyote, wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote;

Job 32:21 in English

Job 32:21 · Berean Standard Bible

I will be partial to no one, nor will I flatter any man.

Context

19ndani yangu niko kama chupa iliyojazwa divai, kama kiriba kipya cha divai kilicho tayari kupasuka. 20Ni lazima niseme ili niweze kutulia; ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu. 21Sitampendelea mtu yeyote, wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote; 22kwa kuwa kama ningekuwa stadi wa kujipendekeza, Muumba wangu angeniondolea mbali kwa upesi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.