Native Bible

Job 32:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa kuwa kama ningekuwa stadi wa kujipendekeza, Muumba wangu angeniondolea mbali kwa upesi.

Job 32:22 in English

Job 32:22 · Berean Standard Bible

For I do not know how to flatter, or my Maker would remove me in an instant.

Context

20Ni lazima niseme ili niweze kutulia; ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu. 21Sitampendelea mtu yeyote, wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote; 22kwa kuwa kama ningekuwa stadi wa kujipendekeza, Muumba wangu angeniondolea mbali kwa upesi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.