Native Bible

Job 32:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema; maneno yamewaishia.

Job 32:15 in English

Job 32:15 · Berean Standard Bible

Job’s friends are dismayed, with no more to say; words have escaped them.

Context

13Msiseme, ‘Tumepata hekima; Mungu na amthibitishe kuwa mwongo, wala si mwanadamu.’ 14Lakini Ayubu hajayapanga maneno yake dhidi yangu, nami sitamjibu kwa kutumia hoja zenu. 15“Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema; maneno yamewaishia. 16Je, ningoje sasa kwa sababu wamekuwa kimya, kwa vile sasa wanasimama bila kuwa na la kujibu? 17Mimi nami nitakuwa na la kusema; mimi nami nitasema lile nilijualo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.